Skip to main content

Mpendwa Rais

Raisi wangu mpendwa
Milihoi kashuka duniani
Wakaangamiza watakatifu wa kweli
Sasa kila mtu amegeuka shetani ni nguo ya malaika
Maajabu ya firauni sio?
Vipi tukakosa kama tunavyo vyote
Vipi tukafa njaa kaskazini ilhali kusini kwa ng’aa kibichi
Vipi tukawa maskini katika nchi tajiri
Vipi tukakosa maji katika mafuriko
Vipi wengine wakosa madawa ilhali wengine wachagua magari
Vipi kutasoma hadi kileo na kushindwa kuvuna jasho letu
Vipi Rais?

Langu ni kuwaza kama kweli wa tazama taarifa ya habari
Wachanana siasa tazama maisha ya panzi kama mimi
Itakuwa vipi ulale vyema sisi tukiishi kama majitu
Rais vipi maisha kawa magumu na shilingi kawa ngumu kupata
Wengine wakisinzia juu ya shilingi elfu tano kwa siku huko parliament
Vipi biashara yangu ndogo kashambuliwa kila siku
Ilhali wezi wa mali ya serikali wazama katika utajiri wa nchi nzima
Vipi kamiti kajaa na wezi wa vitu vidogo ilhali
Na wanao amri mauaji ya mamia ya watu katembea vifua mbele
Vipi ukawacha vijana wakae bila kazi… ilhali waskia fununu kuwa wanalipwa kutenda dhambi
Eeei Rais? Vipi ukalala salama usiku?

© Namatsi Lukoye

Popular posts from this blog

The loyalty Pledge (Kenya)

I pledge my loyalty to the President
and Nation of Kenya
My readiness and duty
to defend the flag of our Republic
My life, strength and service
in the task of nation building
In the living spirit embodied
in our National motto 'Harambee'

and perpetuated in the
Nyayo philosophy
of Peace, Love and Unity.


Thinking Moi’s dictatorship!
As children we had to make the pledge!
In our rags!
With no shoes on!
Bribed with milk (maziwa ya nyayo for staying so loyal)
We recited the words out loud
Religiously we recited at the school assembly
Attention we stood when recited or else we would face the wrath of the cane!


© Namatsi Lukoye

The Poet's Muse

Nayo iwe vipi Kunimaliza kwa macho tu Na ukinibusu… najishangaa tu Nimekua kama zuzu napepea tu Au labda kama mtoto nashindwa cha kufanya lo!
Nguvu gani jamani Si kawaida nashuku ni vela au voodoo  Labda ni uchawi ulibeba toka pwani Nawaogopa wanaokuja kama wewe - naogopa si mchezo! Iwe vipi nawa mchenge Mie pwagu iwe vipi nalemewa hivi
Macho yakikutana - yangu ya legea Natamani ardhi ifunguke nijifichie Najikaza najiwekea nanyamazia - Mwili nao msaliti - jamani, vile moyo wapiga Mwili wanisaliti - hata jinsi napumua Mwili wanisaliti - maji hayo nishakua
and when you touch me  Za! Twende sasa! Nipe yote kesho labda si yetu Cheza nami usiogope kitu Au labda tupande kwa majani tufike angani zetu Una nguvu ajab, nikipi chanisumbua 
Na wanimaliza huachi hata mfupa  - umeninasa hongera mvuvi Vidole kawa miguu, sasa basi tembea jua nchi Zama kisimani - palipo madini labda almasi Nawe kwa ujuzi - ule - mizizi hata mchuzi
Shanga kiunoni - nacho hakidanganyi Kilivyo jilegeza - upate pa kushikilia kilivyo jiachilia - upate…

Just before I killed the Cupid!

Look at you... finding your way into a love story! Well then buckle up!
A couple of months ago I was burning every thought of love from my space and life because I had stopped believing in it. I actually hated that word. Someone would say it to me and I would totally flip out concluding the story with, 'the world is too fake to figure out what love is!' My friends would introduce me to new people, or encourage me join dating sites – but I always felt so desperate doing this! People were just shallow! My poems turned dark – they focused more on pain and I would define pain so beautifully you would want to marry it! I look back and cannot believe I gave too much of my time on the darkness.
Day 1
Things can really change! I met him in an official setting - I had been called to give a presentation about this and that; quite honestly I wasn't up for it. I dragged myself out of the office, sweet talking myself that I needed the fresh air and to meet new people. I do not like meetin…